Kwa wananchi wa Sengerema

Kwa wananchi wa Sengerema

us malisa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
131
Reaction score
37
ndugu wanasengerema,tumekuwa na uongoz wa ngereja kwa kipind kiref lkn hakuna hata jambo moja la maana alilofanya zaid ya kujinufaisha yy tuu,hivyo uchaguz huu tufanye kwel tabasam akatuwakilishe,naomba kuanzia busisi,mukomba, nyamasale,bitoto,mulaga,buyagu ngoma,nyanchenche,na kote mjin mwaka huu tufanye kwel
 
Nipo kishinda, tunakunywa maji ya mashimo na fisi, wananzengo hawamjui tabasam, mwambie ajitokeze huku kijijini hawajamka.....
 
Kiukweli kama kuna kosa ambalo wanasengerema watalifanya na kulijutia milele, ni kutomchagua Tabasam! Kiukweli jamaa ana nia ya dhati na sengerema.
 
Kiukweli hata sisi wakazi wa Nyampande hatuoni alichofanya zaidi.
 
Back
Top Bottom