Kwa wanachuo mnaoingia mtaani

Nawaambia wasimtegemee mtu kwenye ajira watuvunjika moyo kabisa

Nina mifano kama miwili hivi ya madogo wamemaliza Chuo wakawa wanategemea kumegewa shavu na anko sijui baba mdogo somewhere wakaishi kukosa hizo kazi

Hadi walipoamua kukomaa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…