Kwa wana UKAWA tu – Man 2 man...

Kwa wana UKAWA tu – Man 2 man...

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuendelea kuongeza kura za urais kwa Lowassa coz watu wengi wakiwamo CCM wenyewe na vyama vingine hata wasio na vyama wanaendelea kushawishika na kuona haja ya mabadiliko kwa kukubali kumpigia kura Lowassa.

Binafsi nimewashawishi watu kadhaa ikiwamo majuzi kijana mmoja na leo dada ambaye alikuwa neutral lakini sasa amekubali kumpa Lowassa kura. Anasema nyumbani kwao baba, mama na dada yake bado wako neutral juu ya kura ya urais wampe nani.

Hivyo wanaukawa wenzangu tuendelee kuwaelewesha na kuwashawishi watu kwa sera kumpa kura Lowassa. Hakuna wakati ambao ni rahisi kumshawishi mtu kupigia kura upinzani kama ilivyo sasa, CCM ishajimaliza yenyewe kwa uzembe na udhaifu wake. Ongelea kuhusu kupanda gharama za maisha, uchumi mbovu, karo za shule, miundombinu mibovu, thamani ya fedha yetu kuporomoka…nk. Yote hayo na mengineyo CCM imechemka. Kisha wapige na sera za UKAWA/Lowassa elimu bure, uchumi imara, umaskini bye bye… Wataelewa tu.. So tuendelee kuwashawishi watu zaidi kwani ukimshawishi mmoja nayeye atashawishi wengine, chain reaction inaendelea.. Man 2 man campaign inawork makamanda, let’s keep pressing… Pipoooooooooooo’z…….
 
ongeza kuwalinda maalibino, kutafuta chanzo na kukianika

ongea mishahara mizur kwa watumishi. usisahau pension ya wazee.

ongeza na kuheshimiana, kuondoa unyanyasaji mamlaka na majiji, nk
 
Mtoa mada hata sisi huku kwenye vibanda vya chai tuna wahamasisha mpaka wanakubali kweli Lowasa anaweza.Watu 6 tumeshawavua gamba tumewavalisha gwanda.
 
Back
Top Bottom