Kwa wana CCM

Don 01

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
27
Reaction score
24
Ningependa kujuzwa kuhusu hiki kikao cha kamati kuu CCM, watawala waliopita yaani waliowahi kuwa wenyeviti wa chama wanahudhulia au wao huwa hawahusiki. Maana kama kuna mabadiliko ya katiba ya chama, nahisi kama wanahusika vile japo sina uhakika ndio maana nikaomba kujuzwa.
 
UNATAKA KUJUA UTAKUFA LINI HAYA EM ZIMA DATA UJIANDAE KESHO KANISANI UKATUBE USIJE UKAFA
 
TISS IP ADRESS HII HAITAKI KUZIMA DATA INATAKA KUJUA YANAYOENDELEA DODOMA HAYA MARA MOJA MPELEKENI DODOMA
 
yanayotokea CCM ni yaleyale yaliyotokea KANU.wameamua kuchukua njia ambayo Rafiki yake wa damu ilimsambaratisha namaanisha sikio la kufa.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…