kwa wana ARUSHA TU:

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
957
Reaction score
1,080
Ewe mwana arusha hasa wale wa kata zinazotarajia kuwa kwenye uchaguzi 14-7-2013 tafadhri piga kura yako hapa,tuone nani ataibuka kidedea ktk kata 4 kati ya ccm, chadema,cuf na tlp. kushiriki andika JINA LA KATA NA CHAMA UNACHODHANI KITAIBUKA KIDEDEA KATA HUSIKA.mfano KALOLENI-UDP TAFADHARI MOODS MUSIONDOE WALA KUUNGANISHA HII POST. *ONYO:TAfadhari ni kwa wana kata za uchagzi tu wanaoruhusiwa kupiga kura,tuione mpambano huku ss tukiwa watazamaji,na washangiliaji. BEST WISHES
 
hiyo bold nyekundu ni vitu gani?
 

Hawafanyagi hivi, wenzio wanaweka vijitufe flan wanaita poll, ukibofya Mara moja kwa member mmoja tu, sasa ukileta Kwa staili HII utaambulia Nini unafikiri..!
 
hawafanyagi hivi, wenzio wanaweka vijitufe flan wanaita poll, ukibofya mara moja kwa member mmoja tu, sasa ukileta kwa staili hii utaambulia nini unafikiri..!

usikariri wewe,we sichelei kukufananisha na mwanafunzi anae fundishwa na mwl leo3+4=7 nakesho akiambiwa 5+2=7 anabisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…