Prince naithy Member Joined Nov 18, 2015 Posts 57 Reaction score 3 Mar 16, 2016 #1 Jamani samahanini eti matokeo ya kwalio chagyliwa yanatoka wapi jamani mm sijui
F FATHER OF HISTORY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 947 Reaction score 669 Mar 16, 2016 #2 utayakuta katika profile yako na fomu unatumiwa katika email uliyotumia
Prince naithy Member Joined Nov 18, 2015 Posts 57 Reaction score 3 Mar 16, 2016 Thread starter #3 Profile c ina deidlin
mzama chumvini JF-Expert Member Joined Mar 14, 2016 Posts 730 Reaction score 644 Mar 17, 2016 #4 Ni deadline co diedln!! Ile profile ndio utakuta walipokupakungia baada ya kufunga ule udahili <deadline> wakifungua ndio utaona ulipopangiwa na utahitajika kukubal au kuchagua vyuo vingine!!
Ni deadline co diedln!! Ile profile ndio utakuta walipokupakungia baada ya kufunga ule udahili <deadline> wakifungua ndio utaona ulipopangiwa na utahitajika kukubal au kuchagua vyuo vingine!!
mchiz Member Joined Feb 19, 2016 Posts 23 Reaction score 2 Mar 17, 2016 #5 Kma ikitokeo katika vyuo ulivyo omba ukakosa itakwaje ndo utaomba mwka mwingine au
M Masonjo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2010 Posts 2,724 Reaction score 1,119 Mar 17, 2016 #6 Kwa faida ya wengine ebu fafanua,walioapply nin?lini?hayo majina yalitarajiwa kutoka lin?kwa namna hiyo utawasaidia na wengine kujua.
Kwa faida ya wengine ebu fafanua,walioapply nin?lini?hayo majina yalitarajiwa kutoka lin?kwa namna hiyo utawasaidia na wengine kujua.
JAPHA ED JF-Expert Member Joined Aug 17, 2016 Posts 795 Reaction score 1,229 May 20, 2017 #7 Hivi wanaoapply online cheti kinahusika kwani?