sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 226
Mmh ngoja tusubili majibu.Huyu jamaa nimeanza kumsikika mda sana mrefu sana akijitangaza kua ni mwalimu bora wa kiingereza ,huku akijinadi kua usipoelewa utarudishiwa ada yako,sina nia ya kwenda ila kwa waliowah kwenda mje hapa je,mmefanikiwa kwa kiasi gani kwa ufundishaji wake na hizo ada huwa zinarudi kweli?
Hahaha mkuu mtake radhiSizonje huwa anaenda usiku, na huu ni mwaka wa pili sasa.
Take him as a case study kama ameshaelewa lugha au Mbado.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sizonje huwa anaenda usiku, na huu ni mwaka wa pili sasa.
Take him as a case study kama ameshaelewa lugha au Mbado.
Ww ni mtoto au mtu mzima? Kama ni mtu mzima inabidi upimwe akiliSizonje huwa anaenda usiku, na huu ni mwaka wa pili sasa.
Take him as a case study kama ameshaelewa lugha au Mbado.
Ungejua Ras simba anavyoteseka kijana wa watu ungemwonea huruma hapo...ni kama anachochea Tanuru la matofali mabichi.Hahaha mkuu mtake radhi
Kwanini mama?Ww ni mtoto au mtu mzima? Kama ni mtu mzima inabidi upimwe akili
.....i seeMe I wented.
[emoji12] [emoji12]Me I wented.
I was wanting to telled you that my English has now increased very......i see
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Me I wented.
Kwahiyo bora nisiende eeeh...!?Ukisema hujui emglish anakuuliza mama kwa kingereza ni nini? Ukisema mother.
Kwisha
[emoji12] [emoji12]Me I wented.
Me I wented.
Hahaha hata mimi nilifikiria hvyo cdhani kama ada itarudi hapoUkisema hujui emglish anakuuliza mama kwa kingereza ni nini? Ukisema mother.
Kwisha