Asnte mkuu ata kuwa na smatphone siku hizi siyo dili tena kila mtu ana uwezo wa kumiliki hivyo ni kaushamba flani hivi kukocoment upumbavu kwenye uzi usiokuhusu ni bora ukakojoe ukalale.Mkuu miaka ya sahivi kila mtu kafika chuo,so kuja na hoja za chuo hata sio dili tena,kama kaushamba flani hivi,nakuombea kakuepukie mbali..najisikia vibaya kukudharau!
Aah mkuu lazima hela ilitumika hapoMwaka wa kwanza udsm nilikuwa na supplementary ya
EC 116 na
EC 117 nikachomoa 117 nikabeba 116
Mwaka wa pili
Suplimentary ya
EC 216
EC 217
EC 218
EC 219
Nilikuwa na gpa ya 1.6 iyo ni semester ya kwanza apo kuna coz mbili ambazo nilipiga B+ na B mana kwa semister tuna coz sita
Semister ya pili mwaka wa pili
Supplementary
EC 229
Jumlisha na carry over ya EC 116
Usiulize nilipitaje mwaka wa pili kuingia wa tatu pia usiulize nilichomoka vipi
Pia mwaka wa tatu sikuwa na carry over ata moja
Unagamba tayari??...kama unalo big up..maisha ni changamoto na jinsi ya kuziclear hizo changamoto ni maisha...Mwaka wa kwanza udsm nilikuwa na supplementary ya
EC 116 na
EC 117 nikachomoa 117 nikabeba 116
Mwaka wa pili
Suplimentary ya
EC 216
EC 217
EC 218
EC 219
Nilikuwa na gpa ya 1.6 iyo ni semester ya kwanza apo kuna coz mbili ambazo nilipiga B+ na B mana kwa semister tuna coz sita
Semister ya pili mwaka wa pili
Supplementary
EC 229
Jumlisha na carry over ya EC 116
Usiulize nilipitaje mwaka wa pili kuingia wa tatu pia usiulize nilichomoka vipi
Pia mwaka wa tatu sikuwa na carry over ata moja
😀😀😀😀 sup za maisha ninazo kama zote aseee. Sema uzuri wake ukishindwa kusapua unajaribu kusapua tena na tena hadi unaibusu ardhi.Ata sup ya maisha hujawahi pata mkuu
Ha ha ha umenifurahisha sana mkuu 218,219,228,229, 374 na 384 plus AC lazima moja likudake hasa tuliopiga advance HGE maana differentiation na ndugu yake integration siyo mchezo sijawahi ya kuyaelewa ni Mungu tuMwaka wa kwanza udsm nilikuwa na supplementary ya
EC 116 na
EC 117 nikachomoa 117 nikabeba 116
Mwaka wa pili
Suplimentary ya
EC 216
EC 217
EC 218
EC 219
Nilikuwa na gpa ya 1.6 iyo ni semester ya kwanza apo kuna coz mbili ambazo nilipiga B+ na B mana kwa semister tuna coz sita
Semister ya pili mwaka wa pili
Supplementary
EC 229
Jumlisha na carry over ya EC 116
Usiulize nilipitaje mwaka wa pili kuingia wa tatu pia usiulize nilichomoka vipi
Pia mwaka wa tatu sikuwa na carry over ata moja
Daaa hata mimi namuonea huruma..Mkuu miaka ya sahivi kila mtu kafika chuo,so kuja na hoja za chuo hata sio dili tena,kama kaushamba flani hivi,nakuombea kakuepukie mbali..najisikia vibaya kukudharau!
Aah mkuu lazima hela ilitumika hapo
Unagamba tayari??...kama unalo big up..maisha ni changamoto na jinsi ya kuziclear hizo changamoto ni maisha...
Ha ha ha umenifurahisha sana mkuu 218,219,228,229, 374 na 384 plus AC lazima moja likudake hasa tuliopiga advance HGE maana differentiation na ndugu yake integration siyo mchezo sijawahi ya kuyaelewa ni Mungu tu
Yaani mwaka wa tatu 374 ilibidi tufanye assignment as a group work ndiyo CW ikasomeka na UE ililetwa mpk true na false mixer kudefine la sivyo hali ilikuwa tete
Hivi mkuu ukipata sup kwenye transcript itajazwaje??..sio kwamba inachafua kidogo cheti??Thats true tho niliweweseka kidogo baada kufungua aris na kukuta supp 4 ndani ya semister ila nikasema naendelea na masomo na sikughairi mwaka
Gamba ninalo
Inachafua maana unawekewa c yenye starHivi mkuu ukipata sup kwenye transcript itajazwaje??..sio kwamba inachafua kidogo cheti??
Ha ha mimi kwa qm bora hizo qm ilinipelekesha sana mkuuNdugu iyo 219 na ndugu yake 229 ni kiboko qm unaweza chomoko ila izo mbili apa juu duuuh
Kuna mdogo wangu nilimwambia aniletee matokeo yake,ajamaliza bado ila kuna kozi bado kawekewa D na anasema ashasapua..hii imekaaje??Inachafua maana unawekewa c yenye star