Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
609
190
Ndg zangu waungwana wa mitaa ya Ujamaa,Azimio,Jitegemee Mapinduzi/Muhimbili wazee wa zeal nk,habarini za jamvini humu.Samahani tuna mpango wa kufanya sherehe ya waliowahi kuwa wanafunzi wa Mpwapwa Sec.
Tutakuwa na mengi ya kuongea ikiwa ni pamoja na kujuana,kuwa na umoja wa kushauliana mambo mbalimbali na kubwa zaidi kukaa na kukumbushia those back days when Mpwapwa secondary school was a school. si mnakumbuka WAKATI WA "KULEVOLAIZI" BARABARA YETU YA BB na mambo mengine meeeengi.

Sherehe kama hii tuliifanya Dar 2009,na sasa nafikiri ni wazo tuifanye Mwanza then we gotta figure out wapi next.au vipi.Tuwasiliane kwa namba za simu ili tutafutane.Mwenye namba ani-PM pls.
cheers
 
Good idea!tuko pamoja mkuu.Tunayo group kwenye google ijulikanayo kama Mpwapwa friends,you can log in.
 
mama weeeeeeeeeee! sasa mm sijasoma secondary ila nimezaliwa mpwapwa! yayayayyayyay! nimefurahi sana kujuwa kuna watu wanaienzi mpwapwa! aisee itabidi nije tu maana niko Mwanza.
 
Karibu sana ila siku hiyo kutakuwa na password.Mfano utwambie wewe miwa ulikuwa unalia kijiwe kipi.Hahaha.Vitu kama jumba la maendeleo,Manase lazima uvijue.Magari yetu yale ya aznu,safari master nk lazima uyajue barabara..ila karibu sana
 
umenikumbusha ni nikiwa bweni langu la ujamaa,pia bila kumsahu mwl Pima malezi, mdendemi S/master enzi hizo
 
mimi nimesoma enzi za peter naali...bweni langu ujamaa lakini nilikuwa nazamia juhudi kimtindo kuweka minazi
 
Mimi nilisoma Mpwapwa 1955-1958 mwalimu mkuu akiwa Elwell-Sutton. Hivi nembo ya shule ilikuwa "zeal and.......?
Macinkus
 
jumba la maendeleo, manase mpaka chuo cha liti navijuwa, ingawa tulihama kule nikiwa mdogo sana. my late father alikuwa anafanya kazi TALILO! kule kikombo, na mamaangu pia. Tulikuwa tunakaa kikombo ile njia ya vianze, baba alipofariki ndo tukahama! maeneo kama ilolo, ng'ambo, bumila n.k nayakumbuka. Daaaaahhh mpwapwa pananikumbusha sana babaangu. Hakuna sehemu nshawahi kula nyama na maziwa kama mpwapwa!
 
....niliwahi kufanyakazi NBC, pale Mpwapwa ikiwa ni first appointment yangu....enzi hizo pale Mpwapwa sekondari, headmaster alikuwa ni Mwl Sabuni....Lakini pia kulikuwa na walimu kama Mwl Shauri, Mwl. Mnosa na wengineo....

...Mpwapwa ni ukweni kwangu....na miaka yangu yote hapo nilikuwa nikiishi Igovu....
 
ivi mpwapwa NBC iliwah kuepo pale kumbe!? Au ulimaanisha NMB!?
 
umenikumbusha ule mbuyu ktk nembo ya mp sec,mzee mazengo pairoti aliyeacha kazi hiyo kwa matatizo ya macho enzi hizo akiwa ndio mkuu wa shule,pembeni namwona bwana pima m/kiti wa ccm wilaya mp,mama pima naye kwa kimombo we acha tu,
kulikuwa na jembe moja pale mp ni soo,nimelisahau jina,likionekana tu tayari mjiandae kupigwa fimbo kwa mtindo wa chuma mboga,pale njiani karibu na kiwanja cha mpira namwona mzee wa majigambo,mzee wa kilimo huwa achani nywele zake na hana staha kabisa hamwogopi yeyote yule,kuna kifaa kilikuwa kinatema ngeli nzito sana nasikia kwa sasa ni mkuu wa shule huko pwaga
kitambo sana maeneo hayo
 
ilikuwepo na baada hapo wakabadirisha na kuita NMB walikuwa na gari zao,zikitoka kuchukua pesa za walimu unasikia kifilimbi kikipita na speed ya ajabu
 
Kabla ya kuwa NMB ilijulikana kama NBC. Hiyo NMB ilianza 1997, Kabla ya hapo haikuwepo NMB.
 
ilikuwepo na baada hapo wakabadirisha na kuita NMB walikuwa na gari zao,zikitoka kuchukua pesa za walimu unasikia kifilimbi kikipita na speed ya ajabu
Kipindi hicho tulikula maisha kisawa-sawa. Duu, kwa kweli tuli-enjoy "mbayaaa" maana miaka hiyo ya early 90's tulianza ma-janki kama 6 hivi na sister duu 1. Enzi zile DC, alikuwa ni Baby Mawani!!!!

umenikumbusha ule mbuyu ktk nembo ya mp sec,mzee mazengo pairoti aliyeacha kazi hiyo kwa matatizo ya macho enzi hizo akiwa ndio mkuu wa shule,pembeni namwona bwana pima m/kiti wa ccm wilaya mp,mama pima naye kwa kimombo we acha tu,
kulikuwa na jembe moja pale mp ni soo,nimelisahau jina,likionekana tu tayari mjiandae kupigwa fimbo kwa mtindo wa chuma mboga,pale njiani karibu na kiwanja cha mpira namwona mzee wa majigambo,mzee wa kilimo huwa achani nywele zake na hana staha kabisa hamwogopi yeyote yule,kuna kifaa kilikuwa kinatema ngeli nzito sana nasikia kwa sasa ni mkuu wa shule huko pwaga
kitambo sana maeneo hayo

"Suppose the bangala vap,we wait weeeeeeee but where"By Pima
"Alikuwa mjinga mjinga tuu,ni mjinga.Alikuja mshambaaa,mfuko wake wa lambo kafanya begi...."By Mazengo
 
Back
Top Bottom