Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,901 Reaction score 1,511 Apr 24, 2019 #1 wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi??
wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi??
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Apr 24, 2019 #2 visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Wazo la kabwela said: wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi?? Click to expand...
visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Wazo la kabwela said: wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi?? Click to expand...
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Apr 25, 2019 #3 Hii ni Komesha rolla said: visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Click to expand...
Hii ni Komesha rolla said: visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Click to expand...
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,478 Apr 25, 2019 #4 rolla said: visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Click to expand... Thread closed
rolla said: visist www.out.ac.tz download prospectus tafuta unachokitafuta. Au tembelea tawi lao lililo karibu nawe. Wana tawi kila mkoa na baadhi ya wilaya Click to expand... Thread closed
Gamlemilwe JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 290 Reaction score 202 Apr 29, 2019 #5 Wazo la kabwela said: wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi?? Click to expand... Yes unasoma! Nami nimesoma BAPA na then nimesoma Open University Masters ya HRM. Kuhusu ada ni vema ukacheki kwenye prospectus coz Mimi nimehitimu 2016 Kwa sasa lazima kutakuwa na mabadiliko. Kila la kheri
Wazo la kabwela said: wanabodi habar.. nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria?? je ada zake ziko vipi? utaratibu wa ulipaji ukoje?? vipi changamoto za hiki chuo ni zipi?? Click to expand... Yes unasoma! Nami nimesoma BAPA na then nimesoma Open University Masters ya HRM. Kuhusu ada ni vema ukacheki kwenye prospectus coz Mimi nimehitimu 2016 Kwa sasa lazima kutakuwa na mabadiliko. Kila la kheri
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,567 Reaction score 2,928 Apr 29, 2019 #6 Nenda kasome ukakutane Na MTU anaitwa Chacha! Yuko poa sana. Yule ni mbritish mweusi.