ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Cc Paula PaulEverything is f*cked,a book about hope.
Author Mark Manson.
Je unakubaliana kwa kiasi gani na yaliyoandikwa humu.
What are your options about this book?
View attachment 1521676
Thank you.
Bora umelitambua hiloKweli wabongo kwenye kusoma vitabu tuko nyuma
Yeah mkuu nimekupata vizuri,je unasemaje kuhusu ile sehemu ya religions?Hiki kitabu nimekisoma but sijakimaliza ila kwa ujumla nimejifunza vitu vingi sana vinavyoendelea huko duniani na namna vinavyoathiri maisha yetu ya kila siku. Hasa anaoozungumzia Thinking brain and feeling brain. The concept of religious, 1st, second and third Newtown's law.nk. Ngoja nikimalize kwanza
Ngoja nakitupia hapantakitafuta
Pdf hiyo hapo chini mkuuMkuu tuma pdf tukisome kisha tutakurudia
mzee umetisha
Hapo mshindwe wenyewemzee umetisha
PDF ipo hapo juu mkuuTuma pdf au kwenye email , wilsondeusdedith@gmail.com
Pole mkuu anatumia application au browserMbona me nashindwa kudownlod hichi kitabu
@Youngblood mkuu ulikuwa wapi tangu 2019 mbona leo umefufua kila uzi wakoPole mkuu anatumia application au browser