Yeah,
mtaji wa kuandikisha laki tano. usijali gharama za kusajili, ninachotaka kujua ni jumla ya kiasi gani natakiwa nilipe. kwa sababu namtuma kijana anisaidie kuweka sawa logistics. ikishasajiliwa uwekezaji utaongezeka.
vipi na nakala zinatakiwa ngapi?
ubarikiwe sana mpendwa,
Glory to God!