Kwa walioomba kazi Norwegian refugee council-INEE focal point

Ndio maisha yalivyo... Mashirika ni ya wazungu na yana pokea pesa nzuri tu toka huko kwa wazungu ila sisi wenyewe ndio tumeharibi... Chukua mfano wewe una ajiriwa ktk shirika hilo hilo kwa mshahara wa laki tano ikizidi 1.2M... Wakati mfanyakazi katoleWa kenya, Uganda, Kongo, Zambia, Zimbabwe au Togo, Cameroon... Ana lipwa 16M na other benefits bima ya afya usafiri chakula nyumba etc...

Na kuna muda mishahara ilikuwa mizuri sana sema uswahili umeharibu kila kitu... Wizi wa waasibu maadimini nk wamepunguza mishahara na posho za waswahili wenzao na kupelekea wizi rushua nk...

Nenda kafanye kazi kijana... Ukapige dili... Mishahara hiyo hiyo watu mwaka tu wana kibanda gari wamewekeza ktk biashara na kilimo... Hivyo usshangae sana...
Mkuu kwa unavyoongea inaonekana ulishawahi kuaga kwenye hio miradi ya wakimbizi vipi umewahi kua wapi Kasulu au Kibondo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom