Kwa walioomba kazi Norwegian refugee council-INEE focal point

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Wakuu pole kwa shuguli za kuijenga Tanzania ya viwanda.
Hili shirika litaanzishwa Tanzania, hivyo walitangaza nafasi za kazi, mdogo wangu wa Nkasi aliniomba nimsaidie kuomba na mimi nkafanya hivyo, vipi kwa walioomba mshajulishhwa au kuitwa, maana ni muda mfupi umepita baada ya deadline lakini haya mashirika ya kimataifa hawachelewagi kutoa majibu, kama kuna mtu ameitwa au kujulishwa, anisaidie ili dogo aendelee na kulima mbaazi
 
NRC ni shirika la muda sana... Lipo huko kigoma wana saidia wakimbizi... Yapo mashirika mengi sana huko. . kuna Danish Refugee Council (DRC) kuna plan int. Kuna oxfam kuna redcross... Kuna IRC (International Rescue Co...) Yapo mengi sanaaa...
 
Kuna Caritas hawa wakatoliki, World Vision hawa wakatoliki kama sija kosea, wapo ADRA International hawa wasabato, wapo water mission... Kuna agency zaidi ya kumi na tano...
 
NRC ni shirika la muda sana... Lipo huko kigoma wana saidia wakimbizi... Yapo mashirika mengi sana huko. . kuna Danish Refugee Council (DRC) kuna plan int. Kuna oxfam kuna redcross... Kuna IRC (International Rescue Co...) Yapo mengi sanaaa...
Kaka ili litakuwa linaitwa INTER AGENCY NETWORK FOR EDUCATION IN EMERGENCIES(INEE) ndo wanalianza TZ ila lipo chini ya NRC
 
Ila sio vizuri MNA omba kazi bila Ku share matangazo ya kazi, yakiwafika shingoni ndio MNA toka mafichoni... Ubinafsi wenu sio mzuri

Mwisho hata kuwa msaidia ni ngumu
Hizi ajira zilitangazwa kila blog inayotangaza ajira
 
Ninge kusaidia kuuliza ila nasita... Sababu nimesha ieleza boss...!

Kwahiyo Mkuu unampa adhabu sababu hakukwambia wakati Mdogo wake Ana apply? Watu wote wakikwambia ndugu zao wakiwa wana apply kazi itawezekana kweli Mkuu?

Potezea asee. We msaidie tu uoneshe Ukomavu Wako kifikra
 
Aiseeee bora umemwambia ndugu
 
Kaka ili litakuwa linaitwa INTER AGENCY NETWORK FOR EDUCATION IN EMERGENCIES(INEE) ndo wanalianza TZ ila lipo chini ya NRC
INEE SIO SHIRIKA SHIRIKA NI NRC wana hiyo program ya education kushirikiana na agency zingine zinazo deal na education kama IRC, CARITAS NA PLAN INTERNATIONAL... NA UN KUPITIA AGENCIES ZAKE ZA UNHCR UNCEF ETC...

Endelea kufatilia boss...
 
Daaa umeniacha njia panda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom