Kwa waliokosa nafasi vyuo vya afya!!

Kwa waliokosa nafasi vyuo vya afya!!

Willy mayor

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
346
Reaction score
44
Niadge WAKUU ? Kwa wale waliokosa nafasi vyuo vya afya kutokana na ushindani mkubwa hasa vyuo vya serikali: ila nina imani kwamba kwa wale waliokosa wameambiwa wa apply tena..
NOTE: kwa walioambiwa waombe tena upya msije omba vyuo vyenye capacity ambayo ni ndogo yan chini ya 100. Mfano chuo cha SONGEA HEALTH LABORATORY kina capacity(nafasi) 6 lakin cha kushangaza wameoma watu 1896 je apewe nani na nani anyimwe? Xo me ninapendekeza 2 mchague vyuo binafsi na huwa wanatoa na bei ya ada kama uki apply via PC..
 
Habari kaka Mimi nimetumia SMS kwamba nimewekwa pending lakini nikiangalia kwenye profire nikaconfirm selection kwenye status imendikwa SELECTED arafu kweny confrm YES ... Sijamuelewa kwa kweli naomba unieleweshe hapo kaka?
 
Jmn kuna mty aliye chaguliwa afya afu kachaguliwa na specl diploma udom...kama yupo ani taarifu
 
[h=2]Chosen Programmes:[/h] [TABLE="class: table"]
You have Current Chosen the following Programme(s) [TR]
[TH]CHOICE[/TH]
[TH]INSTITUTE NAME
[/TH]
[TH]PROGRAMME NAME[/TH]
[TH="class: text-center, colspan: 3"]Applicants Choose As:[/TH]
[TH]CAPACITY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]First[/TH]
[TH]Second[/TH]
[TH]Third[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]MVUMI SCHOOL OF MEDICAL LABORATORY ASSISTANTS - DODOMA[/TD]
[TD]TECHNICIAN CERTIFICATE IN MEDICAL LABORATORY SCIENCES[/TD]
[TD]175[/TD]
[TD]286[/TD]
[TD]242[/TD]
[TD]74[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]KARAGWE INSTITUTE OF ALLIED HEALTH SCIENCES[/TD]
[TD]TECHNICIAN CERTIFICATE IN MEDICAL LABORATORY SCIENCES
[/TD]
[TD]48[/TD]
[TD]25[/TD]
[TD]26[/TD]
[TD]70[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]RAO HEALTH TRAINING CENTRE - SHIRATI[/TD]
[TD]TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]52
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
msaada jamani kwa wale waliomba community health nao wamejumuishwa?na ktk profile yako kama selected nn kitaonekana ktk table ya choice? msaada wakuu
 
Back
Top Bottom