Kwa walioko mwanza

Kwa walioko mwanza

Leah dickson

Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Mm Leah Dickson nipo mwanza natafuta kazi inayoendana na elimu yangu, elimu yangu ni kidato cha nne.
 
Mm nina nafasi ya u-house girl. Ni PM tu-bargain MSHIKO
 
ndio naweza

Kuwa makini wengine wahuni,watakuonyesha maduka ya rafiki zao waliozoena nao wanapoendaga kukopa,kama wewe umrembo watakugigida,kuwa makini,na prevalence ya HIV kwa Jf (literacy) ni kubwa kuliko ya nchi,utafiti wa TACAIDS,hivyo anagalia wasikukapuye
 
Hahah hahhha you've made my day brother., hahahaha..
 
Kuwa makini wengine wahuni,watakuonyesha maduka ya rafiki zao waliozoena nao wanapoendaga kukopa,kama wewe umrembo watakugigida,kuwa makini,na prevalence ya HIV kwa Jf (literacy) ni kubwa kuliko ya nchi,utafiti wa TACAIDS,hivyo anagalia wasikukapuye

Yaani we acha tu mkuu, misfortune ya watu wengine ndo opportunities kwa wengine
 
Back
Top Bottom