Kwa waliofanya usaili Magereza

Kwa waliofanya usaili Magereza

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
habarini jaman kwa wale waliokwisha kufanya uswahili magereza naomba mtujulishe ni maswali gan wanaulizwa na vip panel yao n ya watu wangapi

maana na presha nayo
 
Hata kuandika kwenyewe umewasilisha kwa presha kubwa, oral interview ndo hautaweza kabisa, mana written umeshashndwa.. jaribu kuedit
 
ebana kama ni mwoga usipoteze kabisa nauli yako,,kuna panel ya timu nzima ya mpira wa miguu,,,na reserve kabisa,,,then mtu mzima unawekwa kati,,,
 
Kwanza akome kupenda miteremko, yani watu tukapigwe mambo kule halafu ye ateleze tu kama kitonga na sisi tulioanza tungemuuliza nani?
 
Daaaah yaaani ule m-panel utadhani watazamaji wa mdundiko au mazingaombwe.Hatari tupu maana nilipigwa bumbuwazi moja hatari sana......MUNGU NA UNITANGULI NIPITE KWA KISHINDO.Amen!
 
we ulikuwa ya tar ngap mkuu na mkahudhuria wangap sku hyo?
 
Mie nilikuwa ya tarehe 10 ndugu fungua dimba sie......na waliudhuria wasailiwa 143 wakatega kama 57 hivi!!.......ndo tunasubiria matokeo yao sijui yatatoka lini ka nikupiga jaramba watu wakapige maana kitaa ni hatari tupu....wacha tukapigwe hiyo mipara na kuparuza mizuzu!
 
teh teh
 
Back
Top Bottom