Wizzie_bae
Member
- Sep 14, 2017
- 5
- 0
Nasikia kuna vyuo vimeshaanza kuwataarifu majibu ya wanafunzi walituma maombi yao.. Vp ni kweli mmeshaanza kupata majibu?
diploma o degree??St. John tayari mkuu wameshaanza toa majibu
Kwa diploma au?St. John tayari mkuu wameshaanza toa majibu
Misungwi wameanza kutoa majib tayarikwa diploma kuna vyuo washaanza kutoa majina ie madini, missungwi Ila kwa afya nadhan bado
Diploma mkuudiploma o degree??
Majibu wametoa kwa mfumo gan?Kwa diploma
Wanatuma sms mkuuNa wameanza kutoa kwa mfumo gan?? Au wanawatumia sms walioapply? Naomba nijuze hapo