M MORIA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 706 Reaction score 278 Oct 15, 2011 #21 hashycool said: kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater. Click to expand... duuh!...masikini alijua anayo kumbe ilharibiwa na baiskel...sasa ulimuuliza kuhusu hiyo naniliu..
hashycool said: kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater. Click to expand... duuh!...masikini alijua anayo kumbe ilharibiwa na baiskel...sasa ulimuuliza kuhusu hiyo naniliu..
A alph Member Joined Oct 14, 2011 Posts 98 Reaction score 9 Oct 15, 2011 #22 Ah, kwani waswahili wanakuwa na honey moon, haieleweki tulianza lini tuliunganisha tuuuuuuuuuuuuuuuuu
Ah, kwani waswahili wanakuwa na honey moon, haieleweki tulianza lini tuliunganisha tuuuuuuuuuuuuuuuuu
nyumba kubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 10,309 Reaction score 8,398 Oct 15, 2011 #23 Baada ya miaka minne ya courtship; honeymoon ilikuwa procedure tu, sikuboreka wala kushangaa; kwani we were like married long a go.
Baada ya miaka minne ya courtship; honeymoon ilikuwa procedure tu, sikuboreka wala kushangaa; kwani we were like married long a go.
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Oct 15, 2011 #24 Mhhh ndg hapo umeenda mbali sana .... Ngoja nijaribu kukumbuka!
nsangaman JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 275 Reaction score 42 Oct 15, 2011 #25 hashycool said: kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater. Click to expand... Mbavu zangu jamani
hashycool said: kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater. Click to expand... Mbavu zangu jamani
chavka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 223 Reaction score 46 Oct 15, 2011 #26 Kuzungumza ya watu sikupendezwa na tabia hiyo japo nilihisi ni kutokuwa na mpya 7day simchezo but yalio bakia yote yalikuwa great sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuzungumza ya watu sikupendezwa na tabia hiyo japo nilihisi ni kutokuwa na mpya 7day simchezo but yalio bakia yote yalikuwa great sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nsangaman JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 275 Reaction score 42 Oct 15, 2011 #27 MORIA said: duuh!...masikini alijua anayo kumbe ilharibiwa na baiskel...sasa ulimuuliza kuhusu hiyo naniliu.. Click to expand... Kwani baiskeli inaondoa naniliu?
MORIA said: duuh!...masikini alijua anayo kumbe ilharibiwa na baiskel...sasa ulimuuliza kuhusu hiyo naniliu.. Click to expand... Kwani baiskeli inaondoa naniliu?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Oct 15, 2011 #28 MkimbizwaMbio said: Niliboreka sana kumkuta ni bikra Click to expand... kwavile ulijua walikuwa wakila tigo?
MkimbizwaMbio said: Niliboreka sana kumkuta ni bikra Click to expand... kwavile ulijua walikuwa wakila tigo?
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Oct 15, 2011 #29 MwanajamiiOne said: MWe watu wengine bwana. Ndo maswali gani haya yarabi? Click to expand... ikulu imevamiwa kwa mawe, lol!
MwanajamiiOne said: MWe watu wengine bwana. Ndo maswali gani haya yarabi? Click to expand... ikulu imevamiwa kwa mawe, lol!