JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Mkuu nahitaji kuapply diploma ya afyaHabari, Ikiwa ni mwanafunzi upo katika mchakato wa kuomba chuo kwa kozi za diploma ya clinical medicine na pharmacy tu basi nione PM nikupe utaratibu wa kujaribu bahati yako huenda ukajipatia udhamini wa masomo yako full au partial,utakapokidhi vigezo pia niachie Jina na whatsapp no PM
njoo pmMkuu nahitaji kuapply diploma ya afya
pm = prime minister.Mm nimeomba tayar ila sijaelewa pm ndo nn plz nieleweshe
unaenda Dodoma, ndo kuna makazi mapya ya pm , huyo jamaa ana kibanda chake maeneo hayo kinaitwa pm, so akikwambia njoo pm ana maanisha uende Kwenye kibanda chake.Sasa unaingiaje huko pm
Tuko pamoja mtundwi.
PM ni PRIVATE MESSAGE...Sasa unaingiaje huko pm