Kwa walichokifanya Mbagala leo, Polisi sasa wanatia aibu

Polisi wanaonea watu,wanadhulumu alafu wanyanyasaji Sasa watu wakichoka hawana cha kupoteza haya tunayoyaona ni madogo yanakuja makubwa zaidi rejea story ya sobibo escape ie unyama waliokua wanafanyiwa na ulinzi uliowekwa mpaka mabomu kuzunguka kambi lakini siku watu walipochoka hakuna walichojari zaidi ya kuondoka tu bila kuangalia hatari yoyote
 
Back
Top Bottom