Kwa wale wanaohitaji kujifunza program ya kutengeza mziki

Kwa wale wanaohitaji kujifunza program ya kutengeza mziki

Nataka kusikia kazi moja iliyokamilika beat na vocal
 
Kihiyo unazingua. Producer gani umetumia DAW muda wote bado hujui kurecord audio unatumia notepad
 
Back
Top Bottom