Unaweza kuniPM or Call (or=option btn the two), but unajibu PM "call 0779 420 000". Ni vema ungeweka wazi kuwa kwa yeyote anayehitaji apige kwenye hiyo namba, na wala sio PM.
Huu ni ushauri tu mkuu.
Kama kawaida sipo kibiashara hivyo wale waliozoea spon feed wakae standy by niwape mteremko kidogo but siyo free maana bundle linahusika KRAPKA DAVINOOOOOO!!!