Kwa wale wanaoenda kwenye interview za NSSF

Kwa wale wanaoenda kwenye interview za NSSF

mzalendo91

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
430
Reaction score
138
Kwa wale wanaopiga interview ya NSSF asubuhi hii msisahau kushare nasi maswali mtakayokuwa mmekumbana nayo huko ikiwezekana mscreen shot baadhi ya maswali na mtutumie kwenye jukwaa
 
Kwanza pia waliopo nje hapo pia watujuze nini kinaendelea mpaka sasa
 
Be confident of your own abilities. Avoid cheating
 
tumepewa pizza na sambusa tunakunywa chai kabla ya mtihani. NSSF raha sana
 
Pepa ni leo kumbe?kuna mtu kaniambia kuna jamaa huko amemuambia apeleke vyeti j3,kumbe ni changa la macho,duuuuh
 
Back
Top Bottom