barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
Okei okei.Hakuna tofauti kwenye ubora zote ni sawa sasa inategemea na mahitaji na uwezo wako kwani Golf ni kubwa klk Polo au kwa lugha nyingine golf ni kaka wa Polo ni kama Benz C na E class au BMW 5 na BMW 3, au Audi A4 na Audi A6 au ukipenda ni sawa pia na kuuliza ipi ni bora kati ya Landcruiser VX na Prado, Golf ni kama VX na Polo ni kama Prado kwa ulinganisho sijui kama nimeeleweka vizuri!
Upo?Ila ka Golf kanakimbia.
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
Upo?
KAle ka kitu ni hatareee, watu waneza wakawa wanakuona kama umo kwenye IST tu..Ila ka Golf kanakimbia..........
Poa poa, ila mi naiona kwa mvuto wa muonekano naona kama polo iko vizuri vile.Golf ni gari zuri kwa muonekano kuliko Polo, Ni kubwa kidogo na zito kuliko Polo na ukipata Golf black metalic kaka hapo ni utilivu
Speed hadi 260
Spare parts zake upatikanaji ukoje hapa Dar??KAle ka kitu ni hatareee, watu waneza wakawa wanakuona kama umo kwenye IST tu..
Ila miingia highway landcruiser anatakuwapata tu habari KIMESHAPITA......
Hizi za ku google achana nazo angalia tulizo naz kwenye yards na mitaani TanzaniaPoa poa, ila naiona kwa mvuto wa muonekano naona kama polo iko vizuri vile.
Golf.
View attachment 650001
Polo.
View attachment 650002
Hizo gari zote ni uchafu tu.Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
zinapatikana sana pesa yako tuSpare parts zake upatikanaji ukoje hapa Dar??
uchafu? wabongo bana.Hizo gari zote ni uchafu tu.
Poa, ziko vizuri na pia sio uniform kama IST.zinapatikana sana pesa yako tu
bei zake ziko juu
Duh,nakuPM basiYah......sanaaaaa........
Duh,nakuPM basi
Nini sasa preta?He!!........