Me pia nalijua. Ila karatasi SasaWapo wajuaji
We nawe mbona kichwa pazi hivo hahaha nimekwambia tatizo makaratasi hapoKama unajua fanya maujanja sasa kama unauhitaji nalo
Wajuaji.. wa kwenda kutumia vilivyomo sio kuendesha nadhaniWe nawe mbona kichwa pazi hivo hahaha nimekwambia tatizo makaratasi hapo
Kwamba anauza spares? AmaWajuaji.. wa kwenda kutumia vilivyomo sio kuendesha nadhani
Kwamba anauza spares? Ama
Labda kaiokota, kuna mtu alishawahi kuokota kichwa cha treni.....Sasa utanunua gari uingie nalo barabarani halina makaratasi?
Polisi pigeni simu number hizo kaweka mkamuulize makaratas kasahau wapi.... binyeni pumbuu kidogo sana atasema tu yaani mbinyeni pumbuu kidogoo sana plaizi
Kwa bongo inawezekana ukaendesha bila hizo karatasi za umiliki. Kuna jamaa yangu alinunua bila karatasi/doc yoyote na anadunda hadi leo miaka 7 sasaWe nawe mbona kichwa pazi hivo hahaha nimekwambia tatizo makaratasi hapo
Sema tu hizi Suzuki Vitara generation hii huwa ni pasua kichwa
Kuweni serious tupo kufanya biashara humu alaaaah 😃😃😃😃😃Labda kaiokota, kuna mtu alishawahi kuokota kichwa cha treni.....