Mfano: umepata A B C masomo ya miaka yote mitatu, A ni 5, B ni 3 na C ni 2 na masomo yote mf yana unit3
Wanachukua jumla ya (unit X grade) gawanya kwa jumla ya unit
Sasa hapo utakuwa na (5*3)+ (3*3)+ (2*3) =30
Chukua 30 gawanya kwa jumla ya unit ambazo ni 9 kwa hayo masomo matatu yenye unit 3 kila moja
Unapata GPA 3.3