B badface_kay Member Joined Mar 4, 2017 Posts 18 Reaction score 2 Oct 20, 2017 #1 Jamani kwa wale wa sua ambao mmekua admitted kwa mwaka wa masomo 2017/2018 au ambao wanaendelea naomba kuuliza eti semister ya kwanza gharama zipoje yan ada na mengneyo msaada tafadhalin ndugu mana hata sielew tu
Jamani kwa wale wa sua ambao mmekua admitted kwa mwaka wa masomo 2017/2018 au ambao wanaendelea naomba kuuliza eti semister ya kwanza gharama zipoje yan ada na mengneyo msaada tafadhalin ndugu mana hata sielew tu