Kwa wale wa SUA tu

Joined
Sep 22, 2015
Posts
35
Reaction score
6
kuna first year yeyote aliyefanikiwa kupata joining ya sua either kwa email au la
 
Kuhusu joining hiyo unachk kwenye web ya sua but though hawajaiupdate ipo ya 2014 kuhusu email walisema watatutumia username n password through email tulizosubmit heslb ili tupakue invoice ya kulipa ada though bado naona kimya na muda ndio unakwisha hivo
 
Any info kuhusu SUA niulize mimi kuhusu joining instruction,medical form n.k
0768085295/0712451119
 
Wenzangu wa Sua tuwasiliane jaman 0713181525 nmechaguliwa Bsc wildlife management
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…