Kuhusu accommodation hapa Ardhi mtapangiwa na chuo na utatakiwa kulipia sh 120,000 kwa semester, ila ndugu yangu hapa Ardhi hostel hazitoshi kuaccomodate first year wote so ni kunabaadhi watapata na wengine watakosa sasa ila Kama kunajamaa yako kama kapata unaweza kumuomba akubebe mkae wote na ikishindikana unaingia mtaani kupanga geto mkuu
ok asante gheto za krbu na chuo zko wapi haswa na kuhusu hii coz iko tyt kivile
jiandae na mechanics engineering
Hiyo ishu inahucka kwenye be
inahusika,so kama ulisoma EGM ndo ujipange
Jaman mi mwenyewe nimepata hii coz vp khs ajira zake
Jaman mi mwenyewe nimepata hii coz vp khs ajira zake