Kwa wale vipanga wapenda debates: Anti Zionism is Antisemitism?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
  • Hebu cheki debates za wenzetu jinsi watu wanavyopanga hoja
  • Pale unapofikiri huyu keshamalizwa anakuja na counter arguments za kukuacha mdomo wazi
  • Kabla hujampa ushindi, mwingine anapiga rebuttal kali mpaka unasema aisee huyu kachomokaje pale?
  • Utaalamu wa debate kama huu unapaswa ufundishwe mashuleni ili tupate critical thinkers na viongozi wanaojua kujieleza
  • Hii ni bonge la debate nimeivulia kofia aisee, watu wanajua mpaka raha!

 
Hii debate nimetoka kuiangalia juzi tu, ni mdahalo mzuri sana Mehdi Hassan alishangiliwa sana alipoinuka.
 
Back
Top Bottom