Jamani masociologist wenzangu kazi zipo wapi? mbona hazionekani hasa huku Arusha? nimetuma application mpaka inbox inakaribia kujaa, ingawaje nina bachelor of sociology with 4.5 degree GPA and 4.0 overall GPA? jamani mnaojua zinakopatikana hizo kazi mnijulishe maana nahis hizo post zinazotolewa tayari watu wanakua wameshaziripoti, ushahidi ninao mpaka sasa nimeshatuma post 173 na by hand 15 but reply zinazokuja kwa bahati ni za kuonyesha kuwa nafasi tayarij imechukuliwa.mim nachoka jamani.
watu tunatamani hata kujiajiri but ile system ya kutengeneza mtaji pasipo hela bado ni ngumu sana hasa kwa sisi tulio fresh from colleges with little or without any experience.
Thanks for your reply..