Kwa wale Dada zangu piten hapa......

Kwa wale Dada zangu piten hapa......

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi-kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!
Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!
Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo....
 
mmmh mbwa ukishamjua unapiga tu miluzi anakufata nyuma
 
Kaka unaandika utadhani unanisema mimi nimekoma hongera sana kwa maelezo yako.
 
dah nimecheka kwa nguvu ila tutafua tu ndoa tutapata
 
Mbona hujatupa hizo mbinu za kumpata right person? Halafu kuna mtu huwa ana mpango wa kudate wrong person? Na mwisho, right person according to who?
 
Define ' the right person'

ahsanteee karucee,
to mtoa mada:sawa sm points hapo ni nzuri,bt vingine em tuwe realistic...'right person,time' ndo zipi em dadavua...?right reasons hapo nmekuelewa..bt hayo mengine rudia ,life is how you perceive it,mambo ya 'right' kwa mwenzio may nt be for you
 
Kwanza do they exist??hao right people...smtym player wa leo ndo bread winner mtulivu wa kesho ,lakn kwa macho ya 'right' utamuona hafai
we mwenyewe mtu ujiangalie am i right??relations r quite complex though sio mbaya na analysis yako,walau toa bc tips za kumpata 'right' unaemsemea
 
Back
Top Bottom