Kwa wakazi wa Same tu

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
118
Kwa mnaoishi Wilaya ya Same mjini maeneo Gani ya kujidai nna ziara ya week 2 hapo nipate ata mwenyeji wakunifariji wa kike tupeane connection.
 
Kwa mnaoishi Wilaya ya Same mjini maeneo Gani ya kujidai nna ziara ya week 2 hapo nipate ata mwenyeji wakunifariji wa kike tupeane connection.
wa kukufariji kwani umefiwa? Nyoosha maelezo tukupe connection wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…