Kwa wakatoliki.

Katekista uwakumbushe pia ishara ya msalaba inapigwa mwanzoni mwa ibada/misa, baada ya kutoa vipaji/zaka na mwishoni mwa misa wakati wa baraka ya mwisho. Wakati wa mageuzi waumini wasipige ishara ya msalaba, ok?

Haya ni maelekezo yangu mimi Mwenyekiti wa Walei JamiiForums.
 
Bado ujanijib kwa muumini ina madhara gani akiinua mikono kwa namna hiyo?
Kwa muumini pale anakuwa anafanya kazi ya kuhani, kuhani ndio mtoa sadaka, ndio anatakiwa anyanyue mikono. Muumini anatakiwa afunge mikono yake kwa unyenyekevu.
 
Sahihi kabisa na hata ishara ya msalaba ni mwanzo na mwisho wa misa sio kila muda mtu unapiga ishara msalaba.
 

Kwa nini wakati wa vipaji na wakati muda huo Padre na vibariki vipaji ina haja gani ya kupiga tena na tayari ulipiga mwanzo wa misa. Sio nayo ni mazoea kama muda wa mageuzo.
 
Ishara ya msalaba ni mara 2 tu, mwanzo na mwisho wa misa takatifu.
 
Kwa nini wakati wa vipaji na wakati muda huo Padre na vibariki vipaji ina haja gani ya kupiga tena na tayari ulipiga mwanzo wa misa. Sio nayo ni mazoea kama muda wa mageuzo.
Tuelekezane kwenye mambo madogo madogo Ili makubwa iwe rahisi kuyaelewa. Mapadri hawajaelewa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…