Kwa wafanyabiashara na wajasiliamali: Karibuni kuwekeza

TheThreatTr

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
339
13
Habari wanajamiiForum popote pale mlipo Duniani,
Kwa wale mnaotaka kuwekeza ama kufanya biashara ya chakula namaanisha "Mgahawa"au "Hotel" nawakaribisha kuja kuwekeza Au kufanya biashara Hiyo "MAILMOJA" KIBAHA MKOA WA PWANI.

Sehemu ya hiyo biashara iko kwenye centre ya mji wa KIBAHA ,Eneo lipo wazi linalofaa kwa biashara ya chakula.

Wasiliana na mimi moja kwa moja kwa kutumia namba zifuatazo
0654158574/0766729672
KARIBUNI WOTE KIBAHA KWA UWEKEZAJI.
ASANTENI SANA!
 
Back
Top Bottom