Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Jan 22, 2015 #21 miss neddy said: mmmh utamtia majaribuni pasta Click to expand... Uwe na amani miss neddy. Amefanya sawasawa na imani yake ndo maana tunaita Holy kiss na ndo hiyo tamu aliyoitoa. Nimepokea kwa mikono miwili!!!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: mmmh utamtia majaribuni pasta Click to expand... Uwe na amani miss neddy. Amefanya sawasawa na imani yake ndo maana tunaita Holy kiss na ndo hiyo tamu aliyoitoa. Nimepokea kwa mikono miwili!!!!!!
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Jan 22, 2015 #22 Apologise lady said: mmmmmmwaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! Click to expand... Asante sana bi Apologise lady nimeipokea busu takatifu toka kwako sawasawa na 2 Korintho 13:12 ambayo inasema, " Salimianeni kwa busu takatifu" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Apologise lady said: mmmmmmwaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! Click to expand... Asante sana bi Apologise lady nimeipokea busu takatifu toka kwako sawasawa na 2 Korintho 13:12 ambayo inasema, " Salimianeni kwa busu takatifu"
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,868 Reaction score 110,240 Jan 22, 2015 #23 kama unapenda sana magari basi jiite toyota au suzuki...
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,200 Jan 22, 2015 #24 Dragoon said: Mwenye gari anamaanisha nini? anayemiliki gari au anayetengeneza gari au anayeendesha gari? Maana hata dereva wa daladala and gari japo si lake Click to expand... bila mifano na picha mwanana tunaweza tusielewane
Dragoon said: Mwenye gari anamaanisha nini? anayemiliki gari au anayetengeneza gari au anayeendesha gari? Maana hata dereva wa daladala and gari japo si lake Click to expand... bila mifano na picha mwanana tunaweza tusielewane