ushauri wangu kwa akina dada mliofika umri wa kuolewa!
akinadada mnatakiwa muwe makini sana mnapoingia kwenye mahusiano yanayolenga ndoa na sisi wanaume.
mnahitaji kuuliza umri wetu sisi wanaume kabla hujakubali kuolewa kwani mnapokuwa mnakubali kuolewa na kijana lika ya miaka 28-34 halafu unataka awe wako wewe tu, hilo haliwezekani kwa lugha nyepesi bila kuzunguka.
na sisi vijana wa lika hiyo tumechoka kukaa bar kusuruhisha ndoa zetu.!
hivyo kama haiwezekani kwenu basi nawashauri iombeni serikali isogeze umri wa kuoa kwa wanaume uwe miaka 35.!ili kuleta utulivu kwenye ndoa maake.!
Kwa akili yako undhani kijana wa chini ya miaka 30 anakuwa mzuri kwenye ndoa? Hapo ulipo bado haujaoa ndo maana unadhani ni kuoa tu, wewe mwenywewe bado unatamani kila msichana nayekatiza mbele mboni za macho yako umgegede, ndiyo maana huwa kuna umri wa kufanya anasa zako hafu huo mri ukipita utajiona hata hamu na wasichana haipo na utabaki tu kuwaangalia.
Kuna kijana ameoa ana miaka 25, mke wake ana miaka 26 na ndoa ipo vizuri tuu, wote wanajielewa na wamekomaa kiakili. Sasa wewe akili yako haifanani na umri wako ndo tatizo!!!