M maharco Senior Member Joined Nov 28, 2015 Posts 116 Reaction score 35 Oct 31, 2016 #1 Yawezekana mwaka huu mvua nayo ikasimamishwa kwanza ili kupisha uhakiki wa wakulima hewa.... Nawaza tu lakini maana serikari yetu kwa uhakiki wa hewa hewa duh wako vizuri.
Yawezekana mwaka huu mvua nayo ikasimamishwa kwanza ili kupisha uhakiki wa wakulima hewa.... Nawaza tu lakini maana serikari yetu kwa uhakiki wa hewa hewa duh wako vizuri.