Van dick
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 223
- 43
Kampung ya Yeke Yeke Classic-iliyopo Bethlehem kibaon Ifakara inawatangazia wakazi Wa Ifakara waje wajipatie bidhaa Kama nguo,kanga,vtenge Vya ukwee,vtambaa Vya satin,vtambaa Vya kushona,magauni Na kile kmfaacho mwke.Pia tunanyoa nywele watuwote wakati wote kwani tunajenereta ktk Saluni iitwayo VANWEAR karibu Na bar ya Milo grocery.Hapo kutana Na kinyoz mahiri Omary utafurahia Huduma zetu.BEI zetu znakali Na kuzingatia UTU.... KARIBUNI WOTE.