Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza viongozi na wanachama wa CHADEMA kutoka na elimu wanayotupatia wananchi, shukrani za pekee ziwaendee wabunge wa chadema na viongozi wakuu wa chama kam Mh Mbowe,Dr Slaa, Zitto kabwe na wengineo mungu awabariki.
shukrani zinatakiwa kuwafikia kweli makamanda wa chadema.. (walioorodheshwa na wengine kama akina Heche na Munishi). Elimu inayoongelewa na kamanda nimeipata.. ni hii ya kuamsha na kuelimisha umma mathalani iliyofanywa hivi karibuni na Kamanda Lema na Msigwa.. inastahili shukrani pia