Vijana Kama hatuta Tumia platform hii (JF ) ku discuss issues za kujenga akili zetu na kujenga nchi yetu , hatutapata nafasii pengine.
Wengi humu ni wasomi tusilete mada za hovyo .
Tutumie nafasi hii ku uliza kujua mambo tusiyo yajua na kuwaelimisha watu mambo tunayo yajua.
Asanteni