Kwa vijana wote wa jimbo la Kinondoni

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
KWA VIJANA WOTE JIMBO LA KINONDONI

Makamanda peoples..
nawakumbusha kuwa jumapili 26/06/2016 saa 4:00 asubuh ukumbi wa CHICHI HOTEL, kutakuwa na kikao cha vijana wote wa jimbo la kinondoni. Mada kuu ni Elimu juu ya mikopo inayotolewa na manispaa (2) Nini kifanyike ili kuamsha Bavicha jimbo la kinondoni sambamba na tukio la kumuaga kamanda Genero Kaduma ambaye ameteuliwa kuwa mratibu wa kanda ya Magharibi. Kila kiongozi Bavicha kata unaombwa kuja na vijana wasiopungua kumi, plz upatapo ujumbe huu mwarifu na mwenzako....by M/kiti Bavicha jimbo
 
Huu ni mkutano wa siasa!
Mna kibali?
 
Tuhakikishieni kuwa hakutakuwa na washawasha za polisi namaanisha sio mwendelezo wa bunge live na udikteta? Nisijeacha appointments zangu kuja kuchezea mikong'oto asubuhi na mapema
 
Maana vijana wa lumumba siku hizi wanashinda mitandaoni kuwasaka wa kuwapeleka kwa pilato wapate buku saba
 
Tuhakikishieni kuwa hakutakuwa na washawasha za polisi namaanisha sio mwendelezo wa bunge live na udikteta? Nisijeacha appointments zangu kuja kuchezea mikong'oto asubuhi na mapema
Meza kabisa dawa za maumivu basi,kama una waasiwasi
 
unatuhakikishia usalama kuwa hautavunjwa huo mkutano ?
Kama hao policcm wameshindwa hata kumpa mwaliko wa kuhudhuria sherehe zao za leo, Meya wa Kinondoni kwa kuwa tu anatoka Ukawa, na kwa kuwa hao Polisi wamepewa maelekezo 'maalum' na Mkuu kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani havifanyi mkutano wowote wa kisiasa hadi 2020, basi tutarajie katika mkutano huo wa kesho, magari ya washawasha yatazingira ukumbi utakaofanyika mkutano huo.
 
Anael, je kinachoendelea hapa jf kwenye jukwaa la siasa sio mkutano wa siasa?
 
Back
Top Bottom