Mkuu muda huwo bado sikuzaliwa na hii picha nina huhakika na jamaa hawa ni wanamuziki na tafauti wa kileo mara kasuka kipeni puani herieni mkufu mapete vidoleni hengha chef na kal kit vikoro koro kibao utasema siyo riziki yaani ushololo usharubarooooo tuu