Kwa utajiri wa rasilimali za Tanzania,mkono wa mataifa Tajiri kwenye siasa zetu utaepukika?

NJUGHU

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
381
261
Urafiki wa mabepari huwa ni wa kihindi,kwa utajiri wa Zaire ya zamani,wamegombanishwa hakuna amani. Libya walipewa kila kitu lakini wakamsaliti Kadaff matajiri wakitaka mafuta,Irak,Iran na hata Nigeria vivyo hivyo hapajatulia?
Watanzania wenye madini lukuki,utalii,gasi,maziwa yenye samaki,na hata mafuta na uranium tutaponea wapi?
Tuwe makini na siasa zinazo kuja tuweke uzalendo wa utanzania mbele! Muumba atusaidie!
 
tahadhari nzuri hii. Naamini serikali inalitambua hilo na inachukua hatua zinazostahiki
 
Back
Top Bottom