Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
mkuu ukawa ni umoja wa katiba ya wananchi. kuhusu madaraka, kwani wale wagombea urais 36 wa ccm hawasaki madaraka?
UKAWA mbele kwa mbele mpaka kieleweke.......tumechoka na chama cha majambazi
Mkuu unashqbikia usichokijua wangekua makini wangwpinga posho bungeni!
Mkuu unashqbikia usichokijua wangekua makini wangwpinga posho bungeni!
Hivi CUF ya Zanzibar ambao wameungana na CCM kuongoza serikali nao ni Ukawa?Hawa UKAWA hawafiki mbali.
Mtoto wako ana miaka mingapi?mimi kura yangu ukawa,ya mke wangu ukawa,ya mtoto wangu ukawa
Wenzio CUF hawajaona kuwa ni majambazi ndo maana wameungana na CCM kule zenjjjjjjj, we kalaga bhaho.UKAWA mbele kwa mbele mpaka kieleweke.......tumechoka na chama cha majambazi
Wenzio CUF hawajaona kuwa ni majambazi ndo maana wameungana na CCM kule zenjjjjjjj, we kalaga bhaho.
Bavicha kwa matusi ni balaa. Nilichokisema siyo mfano, ni ukweli. Sijui unatukana kwa sababu zipi au unakataa kuwa CUF hawajaungana na CCM Zanzibar? Pia CUF ni UKAWA au mmeifukuza?We ng'ombe kweliii.....Wenzako wakila mavi na wewe unakula?!?!?.....JARIBU KUWEKA MIFANO RELEVANT!