FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,021
- 47,110
Mtu alie katika 'North pole', akiulizwa juu ni wapi basi ataonyesha uelekeo wa kichwa chake, akiulizwa chini ni wapi ataonyesha uelekeo wa miguu yake. LAKINI mtu alie 'south pole' akiulizwa juu ni wapi, ataonyesha uelekeo ambao yule wa 'North pole' amesema ni chini, (uelekeo wa miguu wa mtu alie NP ndio uelekeo wa kichwa wa mtu alie SP, na vice -versa ni kweli pia). Sasa je, JUU mbinguni ni wapi, na CHINI motoni ni wapi?
(Nimewaza tu)
Mbingu ipo juu au chini?Juu na chini havipo kiuhalisia
Popote panaweza kuwa juu au chini depending on what your referring to
Ipo juu na chini kote kote with reference to the earthMbingu ipo juu au chini?
So u mean to say whatever is not Earth, is 'heaven'? Na Jehanam je, iko juu au chini?Ipo juu na chini kote kote with reference to the earth
I didn't say heaven or jehanamSo u mean to say whatever is not Earth, is 'heaven'? Na Jehanam je, iko juu au chini?
Mbingu ni nini?Mbingu ipo juu au chini?
Swali lako linataka majibu ya kidini au kisayansi?So u mean to say whatever is not Earth, is 'heaven'? Na Jehanam je, iko juu au chini?
Kama hivyo sawaGehanum ni bonde fulani nje ya mji wa jerusalem.
Lilitumika kama dampo,ambapo walikuwa wakitupa takataka na kuzichoma.
Miaka nenda rudi pale moshi ulifuka,kwa maana moto haukuzimika ukichoma takataka na ndipo concept ya moto wa milele ilipotokea.
Maandiko yanasema baada ya wokovu ama ukombozi kwa lugha ya kileo,wema wangeishi katika mji wa jerusalem mpya,
na wale waovu wote wangefungiwa nje ya mji wa jerusalem,kwa maana ya gehanum,na hata ugonge mlango hungeweza funguliwa,
the whole concept ya wokovu,ilikuwa ni kuwakomboa wayahudi toka mikononi ma ukoloni wa warumi,
lakini concept ika degenerate na kuwa spritual,
in short hakuna cha jehanum wala mbinguni
Kama hivyo sawaI didn't say heaven or jehanam
Those are religious terms with no proof whether they exist or not
Sikujua kama ulivyosema mbinguni una maanisha 'pepo' huko sipajui
Nilijua unamaanisha mawingu (sky) ambayo huwezi kusema kama yapo juu au chini