M melson Member Joined Feb 18, 2018 Posts 17 Reaction score 16 Apr 4, 2018 #1 Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba 0655264625
Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba 0655264625
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,304 Apr 5, 2018 #2 ungeweka na sample ya kazi zako na angalau bei zako ingekuwa vyema zaidi.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Apr 5, 2018 #3 Vitu kama hivyo unaweka picha ya kazi zako ambazo utashawishi watu wajue kweli unachosema unakijua. Kama malaya tu Instagram wanaweka picha za Biashara sembuse wewe mwenye biashara halali.
Vitu kama hivyo unaweka picha ya kazi zako ambazo utashawishi watu wajue kweli unachosema unakijua. Kama malaya tu Instagram wanaweka picha za Biashara sembuse wewe mwenye biashara halali.