Kwa ufaulu huu aende shule gani?

Kwa ufaulu huu aende shule gani?

Xubzero

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
244
Reaction score
414
Wanajamvi kuna mtu kaniuliza mtoto wake aliepata Division III ya point 25 kwa alama hizi
KISWAHILI-C
HISTORY-C
ENGLISH-C
BIOLOGY-C
GEOGRAPHY-D
CIVICS-D
BASIC MATHEMATICS-F
PHYSICS-F
CHEMISTRY-F
Je anaweza kuchukuliwa advance ya serikali au ampeleke private?

karibuniii
 
Serikali hawezi kupata maana ana div 4:26.Mtafutie private akasome HKL

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ana point 25 ambayo ni divison 3. Kwa vigezo vilivyotolewa na serikali 2018 ana ufaulu wa kuweza kuingia F5 hata shule za serikali issue kunaweza kuwa na ushindani mkubwa hivyo kama uwezo upo ni vizuri kuangalia private pia. HKL na HGL zote ni zake.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu,ila unamaansha kwa shule ya serikali itakuwa ngumu kwenda?
 
HGL hataweza kwa sababu anayo D ya Geography

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu,ila unamaansha kwa shule ya serikali itakuwa ngumu kwenda?
Maana yangu ni kuwa ingawa ana vigezo vyote lakini kutegemea na ufaulu wa mwaka huu kama competition ni kubwa anaweza kukosa selection. Hivyo hakuna ubaya pia kuangalia uwezekano wa private ili kama serikali haitamchukua asikose kabisa.
 
HGL hataweza kwa sababu anayo D ya Geography

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawasemi lazima uwe na C3 kwenye tahsusi bali uwe na C3 kwenye ufaulu wako na jumla ya point kwenye tahsusi (combi) ziwe 3-10. Tafsiri ni kwamba anaweza kuchukua geography kama ni lazima ingawa HKL itapendeza zaidi. HGL ana point 10 (CDC) na HKL ana 9 (CCC).
 
Mkuu Private Hawachukii DDC(hgl)??
 
Attachments

  • Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    58.1 KB · Views: 44
Hapo combination inayobalance ni HKL km ni wakike pengine anaweza kupata ila sio uhakika kwa private watampokea bila shida kwasababu ana credit
 
Wanajamvi kuna mtu kaniuliza mtoto wake aliepata Division III ya point 25 kwa alama hizi
KISWAHILI-C
HISTORY-C
ENGLISH-C
BIOLOGY-C
GEOGRAPHY-D
CIVICS-D
BASIC MATHEMATICS-F
PHYSICS-F
CHEMISTRY-F
Je anaweza kuchukuliwa advance ya serikali au ampeleke private?

karibuniii
Anaweza soma HKL, katika shule ya private. Tuletee huyo mkuu, tumfue vizuri academically.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom