Secret Man
Member
- Jun 19, 2020
- 15
- 18
CBG,itamfaa zaidi.maana akichukua physics itamsunbua sana advance.Akakomae na BAM(hesabu).Division 1.17
Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F.
Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
HahahahahaKwaiyo anapingana na serikali?
Division 1.17
Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F.
Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
huyo ana iii ya 17 acha kutudanganya..kikawaida mtu akipata F ya hesabu anapigwa penalty.
Hivi siku hizi hamna penalty ukipata F hesabu.?!
English gani ilikuwa n Penalty?Hawana siku hizi
Enzi zetu hesabu na english ilikuwa lazima ule penalty
Ndio maana watoto wa siku hizi wazembeHawana siku hizi
Enzi zetu hesabu na english ilikuwa lazima ule penalty